Iweke pale unapouzia. Unaingia kwa namba ile ile ya simu na nenosiri kila mahali, na kila kifaa kinafungua duka lile lile.
Uza, angalia stoku na uone pesa za siku ukiwa popote.
Till ya kaunta: skrini kubwa, keyboard, printa ya risiti na droo ya pesa.
Faili linatoka kwetu moja kwa moja. Bado halijasajiliwa kwa Microsoft wala Apple, ndiyo maana zinauliza kwanza.
Anza siku 14 bure, kisha ingia kwenye simu au kompyuta yako.