Una swali kuhusu vifurushi, kuanzisha duka lako, au kuhamisha orodha ya bidhaa? Tuandikie WhatsApp, ndiyo njia ya haraka zaidi, au tutumie barua pepe.
Tuambie unafanya biashara gani na unataka kutatua nini. Tunakujibu humo humo.
Fungua WhatsAppKwa jambo ungependa kuliandika, kama swali la ankara au ombi kuhusu taarifa zako.
[email protected]+255 710 647 374 · Stawi Biz ni biashara ya mtandaoni. Tunakusaidia kwa WhatsApp na barua pepe; hatuna ofisi ya kupokea wageni.
Tayari ni mteja? Ingia kisha uulize ndani ya app, au tuandikie WhatsApp kwa namba uliyojisajili nayo.